Mtunzi: Sekwao Lrn
> Mfahamu Zaidi Sekwao Lrn
> Tazama Nyimbo nyingine za Sekwao Lrn
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Gasper Method Tungaraza
Umepakuliwa mara 691 | Umetazamwa mara 2,178
Download Nota Download MidiBWANA ALIKUWA TEGEMEO LANGU
Bwana alikuwa tegemeo langu mimi (Bwana); Bwana alikuwa tegemeo langu mimi; akanitoa akanipeleka panapo nafasi; akaniponya na nafsi yangu; akanipeleka panapo nafasi; (Akaniponya kwa kuwa alipendezwa nami)x2.
Mashairi.
1. Bwana, alinitendea sawa sawa, sawa, sawa sawa na hatua zetu Bwana (Kiitikio)
2. Maana, nimezishika njia za Bwana, na wala, sikumwasi Mungu, Mungu wangu kweli (Kiitikio)
3. Hukumu, zilikuwa mbele mbele yangu, na wala, amri za ke sikujiepusha nazo. (Kiitikio)