Mtunzi: J.kwangulija
> Tazama Nyimbo nyingine za J.kwangulija
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 465 | Umetazamwa mara 1,348
Download Nota Download MidiBwana aliniambia Bwana, aliniambia Bwana aliniambia wewe ndiwe Mwana wangu (mimi) leo nimekuzaa leo nimekuzaa leo x2
1.Tufurahi sote katika Bwana kwa sababu Mwokozi wetu amezaliwa duniani, leo Amani ya kweli imetushukia toka mbinguni.
2.wafalme wa Dunia wanajipanga na wakuu wanafanya Shauri pamoja juu ya Masiha wake, naye anayeketi huko mbinguni anawafanyia dhihaka hao wafalme.