Mtunzi: Aljeno Elijus Temibara Ngogo
> Mfahamu Zaidi Aljeno Elijus Temibara Ngogo
> Tazama Nyimbo nyingine za Aljeno Elijus Temibara Ngogo
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: aljeno elijus
Umepakuliwa mara 326 | Umetazamwa mara 1,316
Download Nota Download MidiBwana aliniambia ndiwe mwanangu mimi leo nimekuzaa.
1. Wafalme wa dunia wanajipanga na wakuu, wanafanya sheria juu ya Masiha wao
2. Yeye aketiye juu Mbinguni anacheka, Bwana anawafanyia dhihaka hao wafalme.