Mtunzi: Emanuel Ndee
> Tazama Nyimbo nyingine za Emanuel Ndee
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Michael Shija
Umepakuliwa mara 1,982 | Umetazamwa mara 4,322
Download Nota Download MidiKIITIKIO.
Bwana aliniambia ndiwe mwanangu mimi leo, mimi leo nimekuzaa leo nimekuzaa leox2
MASHAIRI
1. Wafalme wa dunia wanajipanga na wakuu, Wanafanya shauri pamoja juu
juu ya masihi wake
2. Yeye aketiye mbinguni anacheka anacheka, Bwana anawafanyia dhihaka
dhihaka hao wafalme.
3. Atukuzwe Baba na Mwana naye Roho Mtakatifu, Kama mwanzo na sasa na
milele milele na milele.