Ingia / Jisajili

Bwana Alipokwisha Kubatizwa

Mtunzi: Joseph Nyagsz
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Nyagsz

Makundi Nyimbo: Ubatizo

Umepakiwa na: JOSEPH MOSIORI

Umepakuliwa mara 157 | Umetazamwa mara 737

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Ubatizo wa Bwana
- Shangilio Ubatizo wa Bwana

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana alipokwisha kubatizwa mbingu zilimfunukia. Na tazama roho akashuka kwa mfano wa hua na kuketi juu yake. Na tazama sauti ya Baba toka mbinguni, 'huyu ni mwanangu mpendwa ninayependezwa naye.'

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa