Mtunzi: J Kapumpa
> Tazama Nyimbo nyingine za J Kapumpa
Makundi Nyimbo: Ubatizo
Umepakiwa na: Eleuter Massawe
Umepakuliwa mara 1,005 | Umetazamwa mara 2,308
Download Nota Download MidiKiitikio: Bwana alipokwisha kubatizwa, Mbingu zikamfunukia. x2 Roho akashuka roho akashuka kwa mfano wa hua, na kukaa juu yake. x2
1.Na tazama sauti ya Baba ikasema. Huyu ni mwanangu mpendwa wangu ninayependezwa naye.