Mtunzi: Kidesu Dp
> Tazama Nyimbo nyingine za Kidesu Dp
Makundi Nyimbo: Noeli | Ubatizo
Umepakiwa na: Didas Kidesu
Umepakuliwa mara 11 | Umetazamwa mara 9
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Ubatizo wa Bwana
- Antifona / Komunio Ubatizo wa Bwana
Bwana alipokwisha kubatizwa, Mbingu zilimfunukia Mbingu zilimfunukia, Roho akashuka kwa mfano wa hua na kukaa juu yake.×2
Na tazama sauti ya Baba ikasema, Huyu ni Mwanangu mpendwa ni Mwanangu mpendwa wangu niliyependezwa naye, niliyependezwa naye.