Ingia / Jisajili

Bwana Alipokwisha Kubatizwa

Mtunzi: Hajulikani
> Tazama Nyimbo nyingine za Hajulikani

Makundi Nyimbo: Noeli | Ubatizo

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 6,137 | Umetazamwa mara 13,074

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Bwana alipokwisha kubatizwa, mbingu zikamfunikia, Roho akashuka kwa mfano wa hua na kukaa juu yake

Mashairi:

  1. Na tazama sauti ya Baba, kutoka mbinguni ikasema:
  2. Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa