Mtunzi: Eleuter Kihwele
> Mfahamu Zaidi Eleuter Kihwele
> Tazama Nyimbo nyingine za Eleuter Kihwele
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: ELEUTER KIHWELE
Umepakuliwa mara 270 | Umetazamwa mara 1,493
Download NotaKiitikio: Bwana alitutendea mambo makuu, tulikuwa tukifurahi
1. Bwana alipowarejeza mateka wa Sayuni, tulikuwa kama waotao ndoto, ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko na ulimi wetu kwa shangwe na kelele za furaha
2. Ee Bwana uwareje watu wetu waliofungwa, kama vijito vya kusini wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele za furaha
3. Ingawa mtu anakwenda zake akilia azichukuapo mbegu za kupanda hakika atarudi kwa kelele za furaha