Mtunzi: C. Mzena
> Tazama Nyimbo nyingine za C. Mzena
Makundi Nyimbo: Zaburi | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 3,005 | Umetazamwa mara 7,032
Download Nota Download MidiBwana alitutendea mambo makuu, Bwana alitutendea mambo makuu, tulikuwa tukifurahi x 2.
Mashairi:
1. Bwana alivyowarejeza mateka wa sayuni, tulikuwa kama vile waotao ndoto, ( Ndipo hapo hakika ikawa furaha ) x 2.
2. Ndipo waliposema kuwa katika mataifa Bwana amewatendea mambo ya ajabu, ( Sote tulifurahi tukichekelea ) x 2.
3. Bwana uwarejeze watu wetu walio fungwa, wapandao kwa machozi watavuna kwa furaha, (Watabeba mavuno wakishangilia ) x 2.