Ingia / Jisajili

Bwana Alitutendea Mambo Makuu

Mtunzi: Elia Temihanga Makendi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elia Temihanga Makendi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: elia makendi

Umepakuliwa mara 550 | Umetazamwa mara 2,272

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana alitutendea mambo makuu tulikuwa tukifurahix2 1.Bwana alipowarejeza mateka wa Sayuni tulikuwa kama waotao ndoto ndipo kinywa chetu kilipojawa kicheko na ulimi wetu kelele za furaha. 2.Ee Bwana uwarejeze watu wetu waliofungwa kama vijito vya kusini wa-pa-ndao wapandao kwa machozi wa-tavuna kwa kelele za furaha. 3.Ingawa mtu ana-kwenda za-ke akilia azichukuapo mbegu za kupanda hakika atarudi kwa kelele za furaha a-ichukuapo miganda ya-ke.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa