Mtunzi: S. J. Simya
> Tazama Nyimbo nyingine za S. J. Simya
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Miito | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 5,550 | Umetazamwa mara 9,149
Download Nota Download MidiNA: S. J. SIMYA
Bwana aliwaambia Mitume nendeni pote nendeni pote kuwahubiria mataifa yote, Neno, Neno la Mungu x2
Heri wenye kusikia Neno lake
Wanaheri ya kumwona Mungu wetu.
Neno lake Bwana ni la uzima
1. Tangazeni neno lake Mungu wetu, Mataifa yamwamini yaokoke.
2. Heri wenye kusikia na kutii, wana heri ya kumwona Mungu wetu.