Ingia / Jisajili

Bwana Amefufuka

Mtunzi: Frt. Onesmo Shingelwa

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Joseph Isaya Mwakapila

Umepakuliwa mara 1,068 | Umetazamwa mara 3,846

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: (Aleluya leo shangwe kubwa) Bwana Amefufuka mauti ameshinda:

            /:Tuimbe aleluya Bwana Amefufuka x 2.

  1. Kaburini hayumo tena ameshinda mauti, ni mzima aleluya.
  2. Bwana Amefufuka kweli ameleta wokovu, tufurahi aleluya.
  3. Bwana Yesu Amefufuka kama alivyosema, tufurahi aleluya.

Maoni - Toa Maoni

Nkurikiye Jean Berchmans Apr 27, 2020
Nyimbo

Nkurikiye Jean Berchmans Apr 27, 2020
Burundi

Toa Maoni yako hapa