Mtunzi: M.d. Matonange
> Tazama Nyimbo nyingine za M.d. Matonange
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Michael Kiduta
Umepakuliwa mara 1,285 | Umetazamwa mara 3,019
Download Nota Download MidiBwana amejaa huruma, huruma na neema si mwepesi wa hasira mwingi wa fadhili
1.Ee nafsi yangu umhimidi Bwana naam vyote vilivyo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu
2.Akusamehe maovu yako yote akuponya magonjwa yako yote aukomboa uhai wako na kaburi
3.Hakututendea sawa na hatia zetu wala hakutulipa sisi kwa kadiri ya maovu yetu yote.