Ingia / Jisajili

Bwana Amejaa Huruma

Mtunzi: Isaiah Kariuki
> Mfahamu Zaidi Isaiah Kariuki

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mazishi | Misa | Moyo Mtakatifu wa Yesu

Umepakiwa na: Michael Otieno

Umepakuliwa mara 160 | Umetazamwa mara 257

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 7 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BWANA AMEJAA HURUMA Bwana amejaa huruma, (amejaa) Bwana amejaa huruma na neema x2 1. Ee nafsi yangu umhimidi Bwana, naam vyote vilivyomo ndani yangu, vilihimidi jina lake takatifu 2. Akusamehe makosa yako yote, akuponya na ouvu wako wote, akutia taji la fadhili na neema 3. Bwana amejaa huruma na neema, haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili na neema.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa