Mtunzi: Musa U. Lubeleli
> Mfahamu Zaidi Musa U. Lubeleli
> Tazama Nyimbo nyingine za Musa U. Lubeleli
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Antony Chacha
Umepakuliwa mara 733 | Umetazamwa mara 2,466
Download Nota Download MidiBwana amejaa huruma Bwana amejaa Huruma Bwana amejaa (amejaa) Bwana amejaa Huruma na Neema
1. Ee nafsi yangu umuhimidi Bwana Mungu Naam na vyote vilivyomo ndani yangu vilihimidi jina lako takatifu.
2. Akusamehe na- maovu yako yote na akuponye na magonjwa yako yote aukomboa uhai wako na kaburi.
3. Bwana amejaa Huruma na Neema wala haoni Hasira upesi Bwana naye ni mwingi naye ni mwingi wa Fadhili.
4. Kama Mashariki ilivyo mbali sana na Magharibi ndivyo alivyoziweka Dhambi zetu mbali sana na sisi.