Mtunzi: Fr. Kulwa G. Paul
> Mfahamu Zaidi Fr. Kulwa G. Paul
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Kulwa G. Paul
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: KULWA GEORGE
Umepakuliwa mara 1,847 | Umetazamwa mara 4,700
Download Nota Download MidiBwana amejaa huruma na neema, amejaa huruma na neema x2
1. Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana; Naam, vyote vilivyo ndani yangu, vilihimidi jana lake taka-tifu.
2. Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana; Naam, wala usizisahau, usizisahau fadhili zake zote.
3. Ndiye asameehaye maovu yote; akuponya na magonjwa yote, anayekuponya magonjwa yako yote.
4. Bwana hahesabu hatia zetu; wala halipishi dhambi zetu, si mwepesi wa hasira, mwingi wa fadhili.