Ingia / Jisajili

Bwana Amejaa Huruma

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 21,773 | Umetazamwa mara 33,946

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Tobias yotamu Aug 25, 2022
Hongera sana kwa wimbo mzuri hakika unanibariki sana

Wimbo mzur sana Feb 20, 2022
Ubalikiwe

Emmanuel Abel Feb 16, 2022
Huu wimbo nimzuri sana ingawa hata mm siuelew kama niwa kwaresma ama majilio. Kwasabab upo kotekote. Naupenda sana

Emmanuel Sep 12, 2021
Wimbo huu sijawahi kujaribu kuusahau Uko vizuri sana.

Emmanuel Mapalala Apr 01, 2020
Tungo ambayo inanifanya nitafakari sana ndani ya moyo wangu,na bado nashindwa kuuelewa ni majilio ama kwaresima?

Daniel Feb 18, 2020
Wimbo mzuri sana, utunzi mzuri. Ila ni wa MAJILI0 au KWARESMA??

Toa Maoni yako hapa