Ingia / Jisajili

BWANA AMETAMALAKI

Mtunzi: F. K. Wambua
> Tazama Nyimbo nyingine za F. K. Wambua

Makundi Nyimbo: Zaburi | Kristu Mfalme | Mwanzo

Umepakiwa na: francis wambua

Umepakuliwa mara 100 | Umetazamwa mara 504

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka A
- Katikati Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Usiku)
- Antifona / Komunio Dominika ya 8 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 3 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 3 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 3 Mwaka C
- Mwanzo Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka C
- Mwanzo Dominika ya Matawi
- Katikati Dominika ya 2 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 30 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 31 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 31 Mwaka C
- Katikati Epifania
- Katikati Kutolewa Bwana Hekaluni
- Katikati Dominika ya 7 ya Pasaka Mwaka C
- Katikati Kupaa kwa Bwana
- Katikati Watakatifu Wote
- Katikati Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka A
- Katikati Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka B
- Katikati Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka C
- Antifona / Komunio Dominika ya 8 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 8 Mwaka C
- Antifona / Komunio Dominika ya 16 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 16 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 16 Mwaka C
- Antifona / Komunio Kuzaliwa kwa Bwana (Mkesha)
- Antifona / Komunio Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Alfajiri)
- Antifona / Komunio Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Mchana)

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

BWANA AMETAMALAKI (F.K. WAMBUA- © April 2018)

Chorus:         {Bwana ametamalaki x2, nchi naifanye shangwe}x2

                     {nchi naifanye shangwe x4}x2

1. Sop/Alto: Bwana ametamalaki amejivika adhama, na kujikaza nguvu, ulimwengu umethibitika usitikisike.

2. Tenor: Kiti chako kimekuwa thabiti tokea zamani, wewe ndiwe uliyekuwa tangu milele yote.

3. Sop/Alto: Ee Bwana mito imepaza imepaza, sauti zake, miti imepaza imepaza , uvumi wake.

4. Tenor: Kupita sauti ya maji mengi maji makuu, Bwana ndiye mwenye nguvu na uweza milele na milele.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa