Mtunzi: Frt. Canada
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Canada
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 1,549 | Umetazamwa mara 4,675
Download Nota Download MidiBwana ametamalaki ametamalaki ndiwe uliye juu x2
Ndiwe uliye juu ndiwe uliye juu sana kuliko nchi yote x2
1. Bwana ametamalaki nchi na ishangilie visiwa vingi na vifurahi
2. Mbingu zimetangaza haki yake watu wote wameuona wokovu wake