Mtunzi: M.d. Matonange
> Tazama Nyimbo nyingine za M.d. Matonange
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Michael Kiduta
Umepakuliwa mara 637 | Umetazamwa mara 1,711
Download Nota Download MidiBwana ameufunua wokovu wake machoni pa mataifa, machoni pa mataifa
1.Mwimbieni Bwana wimbo mpya kwa maaana ametenda mambo ya ajabu, mkono wa kuume wake mwenyewe mkono wake mtakatifu umetenda wokovu.
2.Bwana ameufunua wokovu wake machoni pa mataifa ameidhihilisha ameidhihilisha haki yake.
3.Miisho yote ya dunia imeuona imeuona wokovu wa Mungu wetu mshangilieni Bwana nchi yote inueni sauti imbeni kwa furaha