Ingia / Jisajili

Bwana Ameufunua Wokovu Wake

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 1,444 | Umetazamwa mara 4,123

Download Nota
Maneno ya wimbo

Bwana ameufunua wokovu wake, Bwana ameufuna wokovu wake machoni pa mataifa, machoni pa mataifa; Bwana ameufunua wokovu wake.

  1. Ameukumbuka upendo wake, na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli, miisho yote ya dunia imeuona wokovu wake, wokovu wa Mungu wetu, wokovu wa Mungu wetu.

  2. Mpigieni kelele za shangwe, nchi ipaze sauti za nyimbo za shangwe na vinanda, mwimbieni Bwana kwa kinubi na sauti za kuimba kwa mvumo wa baragumu shangilieni Bwana mfalme.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa