Mtunzi: C. Chaungwa
> Tazama Nyimbo nyingine za C. Chaungwa
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 1,048 | Umetazamwa mara 3,564
Download Nota Download MidiNA: C. CHAUNGWA
Bwana ana enzi Bwana ana enzi atawala pote x 2
1. Nchi navyo vilivyomo vyote ni mali yako Bwana
2. Enyi watu wenye haki furahini katika Bwana
3. Bwana ametamalaki nchi naifanye shangwe
4. Sifa na heshima zote astahili Bwana Mungu