Ingia / Jisajili

Bwana Anakuja Awahukumu

Mtunzi: Ludovick C. Chogwe
> Mfahamu Zaidi Ludovick C. Chogwe
> Tazama Nyimbo nyingine za Ludovick C. Chogwe

Makundi Nyimbo: Majilio | Zaburi

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 1,996 | Umetazamwa mara 4,587

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana anakuja awahukumu mataifa kwa haki anakuja awahukumu mataifa kwa haki x 2.

1. Mwambieni Bwana zaburi kwa kinubi, kwa panda na sauti ya baragumu shangilieni mbele za mfalme na Bwana.

2. Bahari na ivume navyo vijazavyo mito na ipige makofi milima iimbe kwa furaha.

3. Kwa maana Bwana anakuja kuhukumu nchi, atahukumu ulimwengu kwa haki na mataifa kwa adili.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa