Mtunzi: Thomas P Kessy
> Mfahamu Zaidi Thomas P Kessy
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas P Kessy
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Vitus Chigogolo
Umepakuliwa mara 1,486 | Umetazamwa mara 4,016
Download Nota Download MidiBwana anatualika twende tukampokee ni mwili na damu ya Bwana Yesu Kristo x2
Twende tukale mwili wa Yesu twende tukanywe damuu ya Yesu tupate uzima rohoni mwetu x2
1. Chakula safi kwa roho zetu Kimeandaliwa mezani kwa Bwana twendeni wote tukampokee
2. Alaye mwili wangu na damu yangu atapata uzima siku zote twendeni wote tukampokee