Ingia / Jisajili

Bwana Asema

Mtunzi: Thomas P. Bingi
> Mfahamu Zaidi Thomas P. Bingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas P. Bingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: THOMAS PATRICK

Umepakuliwa mara 307 | Umetazamwa mara 1,046

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana asema mimi ni wokovu mimi ni wokovu, mimi ni wokovu wa watu, mimi ni wokovu wokovu wa watu. Shairi. Wakinililia katika taabu taabu yao taabu yoyote, nitawasikiliza, nitawasikiliza, nami nitakuwa bwana wao milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa