Ingia / Jisajili

Bwana Asema

Mtunzi: Amadeus B. Lukela
> Mfahamu Zaidi Amadeus B. Lukela
> Tazama Nyimbo nyingine za Amadeus B. Lukela

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Justine Mgobela

Umepakuliwa mara 217 | Umetazamwa mara 417

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana asema mawazo ninayowawazia ninyi ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, nanyi mtaniita nami nitawasikiliza nami nitawarudisha kutoka mahali pote watu wenu waliofungwa

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa