Mtunzi: Joseph lawrence ogonyi
> Mfahamu Zaidi Joseph lawrence ogonyi
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph lawrence ogonyi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Joseph Lawrence
Umepakuliwa mara 40 | Umetazamwa mara 59
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 33 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 33 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 33 Mwaka C
Bwana asema amini nawa ambiya yote myaombayo mki sali na kuamini ya kwamba mna yapokea nayo yata kuwa yenu
1. Kila msimamapo mki sali sameheni mkiwa na neno juu ya mtu ili na baba yenu wa mbinguni awa samehe nanyi makosa yenu, Lakini kama ninyi hamsamehe wala baba yenu aliye mbinguni hata wasamehe ninyi makosa yenu