Ingia / Jisajili

Bwana Asema Mawazo Ninayowawazia

Mtunzi: Mwakiseyo S.d
> Tazama Nyimbo nyingine za Mwakiseyo S.d

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 33 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 33 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 33 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana asema mawazo ninayowawazia ninyi ni mawazo ya amani wala si ya mabaya X2

1. Nanyi mtaniita nami nitawasikiliza nitawasikiliza nitawasikiliza

2. Nami nitawarudisha kutoka mahali pote watu wenu waliofungwa


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa