Ingia / Jisajili

Bwana Asema Mimi Ni Wokovu

Mtunzi: Deus Richard
> Mfahamu Zaidi Deus Richard
> Tazama Nyimbo nyingine za Deus Richard

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Deus Richard

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana asema mimi ni wokovu, mimi ndimi wokovu wa watu. Katika shida yoyote wataniita nami nitawasikiliza, nami nitakuwa Bwana wao Milele.

1. Waniaminio katika shida zao nitawapa tulizo la moyo

2. Waambieni watu wenye moyo wa hofu jipeni moyo wala msiogope


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa