Ingia / Jisajili

Bwana Atakapodhihirishwa

Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Shiivah Ric

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 28 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 28 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 28 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana atakapodhihirishwa tutafanana naye, kwa maana tutamwona kama alivyo x2.

  1. Kila mwenye matumaini haya, katika yeye hujitakasa, kama yeye alivyo Mtakatifu.
  2. Nanyi mnajua ya kuwa yeye, alidhihirishwa ili aziondoe dhambi, na dhambi haimo ndani yake.
  3. Kila akaaye ndani yake hatendi dhambi, kila atendaye dhambi hakumwona yeye, wala hakumtambua.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa