Ingia / Jisajili

Bwana Atakuja Kuwaokoa Mataifa

Mtunzi: Fidelis L Komba ( MHAUKA)
> Mfahamu Zaidi Fidelis L Komba ( MHAUKA)
> Tazama Nyimbo nyingine za Fidelis L Komba ( MHAUKA)

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: Fadhili Komba

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Bwana atakuja, Bwana atakuja, Bwana atakuja kuwaokoa Mataifa x 2

mashairi

1. Enyi watu  wa   sayuni,  /   Tazameni   Bwana  atakuja  /  Kuwaokoa mataifa.

2. Naye bwana atawasikizisha, /   Sauti yake ya utukufu,  /  Katika furaha ya mioyo yenu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa