Ingia / Jisajili

Bwana Atawabariki

Mtunzi: Felix Mbuya

Makundi Nyimbo: Noeli | Ubatizo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,534 | Umetazamwa mara 5,180

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Bwana atawabariki watu wake kwa amani (amani) Bwana atawabariki watu wake kwa amani x 2

Mashairi:

  1. Mpeni Bwana enyi wana wa Mungu, Mpeni Bwana utukufu wa jina lake.
     
  2. Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu/ kwa kuwa Bwana atawabariki watu wake kwa amani.
     
  3. Sauti ya Bwana i juu ya maji mengi/Sauti ya Bwana ina nguvu na pia ina adhama.
     
  4. Sauti ya Bwana yawasawazisha ayala/ na ndani ya hekalu wanasema wote utukufu.
     
  5. Bwana aliketi juu ya gharika / Bwana ameketi hali ya Mfalme milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa