Mtunzi: Lazaro Magovongo
> Mfahamu Zaidi Lazaro Magovongo
> Tazama Nyimbo nyingine za Lazaro Magovongo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: LAZARO MAGOVONGO
Umepakuliwa mara 666 | Umetazamwa mara 1,878
Download Nota Download MidiKiitikio; Bwana atawabariki watu wake kwa amani
Mashairi
1.Mpeni Bwana enyi wana wa Mungu,mpeni Bwana utukufu na nguvu,mpeni bwana utukufu wa jina lake mwabuduni bwana kwa uzuri wa utakatifu wake.
2.Sauti ya bwana i juu ya maji,bwana yu juu ya maji mengi,sauti ya bwana ina nguvu,sauti ya bwana ina adhama
3.Sauti ya bwana yawazalisha ayala na ndani ya hekalu lake wanasema wote utukufu.Bwana aliketi juu ya gharika,Naam bwana ameketi hali ya mfalme milele