Mtunzi: Patrick Mkude
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Philemon Kajomola
Umepakuliwa mara 1,206 | Umetazamwa mara 3,237
Download Nota Download MidiBwana atawala milele x2
Ameketi katika kiti chakecha nzi na atawabariki watu kwa amani na atawala milele x2
1. Na wafalme wa dunia nao wana mtumikia atawala milele
2. Mataifa ya dunia nayo yanamwabudia atawala milele
3. Utukufu na ukuu una yeye milele atawala milele
4. Tumsifu tumtukuze ndiye Bwana Mungu wetu atawala milele