Ingia / Jisajili

Bwana Atubariki

Mtunzi: Joseph Mgallah
> Mfahamu Zaidi Joseph Mgallah
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Mgallah

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Joseph Mgallah

Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 15

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 27 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BWANA ATUBARIKI SIKU ZOTE ZA MAISHA YETU X2 BWANA ATUBARIKI, BWANA AUTUBARIKI, ATUBARIKI SIKU ZOTE ZA MAISHA YETU X2 MASHAIRI 1. Heri kila mtu amchaye Bwana aendaye katika njia yake, taabu ya mikono yako hakika utaila, utakuwa mwenye heri na baraka tele. 2. Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao vyumbani mwa nyumba yako. Wanao kama miche ya mizeituni wakiizunguka meza yako. 3. Hakika atabarikiwa hivyo yule amchaye Bwana. Bwana akubariki toka Sayuni uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako. Naam ukawaone wana wa wanao. Amani ikae ñna Israeli.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa