Mtunzi: Wolford P. Pisa (WPP)
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa (WPP)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa (WPP)
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi | Mwanzo
Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa
Umepakuliwa mara 797 | Umetazamwa mara 2,727
Download Nota Download MidiKIITIKIO: Bwana atubariki, Bwana atubariki siku zote, Bwana atubariki siku zote za maisha yetu x2
MASHAIRI:
1. Taabu ya mikono yako hakika utaila, utakuwa mwenye heri na baraka tele.
2. Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao vyumbani mwa nyumba yako, nyumba yako.
3.Wana wako watakuwa kama miche ya mizeituni, wakiizunguka meza, meza yako meza yako.
4.Hakika atabarikiwa yule amchaye Bwana, Bwana akubariki toka sayuni, toka sayuni