Ingia / Jisajili

Bwana Atukuzwe 2

Mtunzi: DICKSON PASCHAL MABUBU
> Mfahamu Zaidi DICKSON PASCHAL MABUBU
> Tazama Nyimbo nyingine za DICKSON PASCHAL MABUBU

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Dixon Paschal

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana atukuzwe milele bwana atukuzwe milele bwana atukuzwe milele milele yote x 2

1. Yesu kristo kwa sili yake alikuwa daima Mungu ila kwakutaka yeye mwenyewe akawa sawa na wanadamu

2.Kwa heshima ya jina la Mungu viumbe vyote vipige magoti, kila mtu amkiri Yesu kwa utukufu wa jina lake

3.Alijinyenyekeza na kutii na kutii hata kifo, akakwezwa juu kabisa na jina lililokuu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa