Ingia / Jisajili

Bwana Atukuzwe Milele

Mtunzi: CLEMENCE TAFITI DANIEL
> Mfahamu Zaidi CLEMENCE TAFITI DANIEL
> Tazama Nyimbo nyingine za CLEMENCE TAFITI DANIEL

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: CLEMENCE TAFITI DANIEL

Umepakuliwa mara 60 | Umetazamwa mara 67

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(Bwana atukuzwe milele milelel) bwana atukuzwe milele atukuzwe milele, atukuzwe atukuzwe milele x 2 1.Yesu Kristo kwa asili yake alikuwa daima Mungu, ila kwa kutaka yeye mwenyewe akawa sawa na wanadamu. 2. Alijinyenyekeza na kutii hata kufa msalabani, kwa sababu hiyo Mungu alimkweza, akampa jina kuu zaiidi ya yote. ili kwa heshima ya jina la Yesu Viumbe vyote vipige magoti kwake,na kila mtu akiri kwamba Yesu ni bwana kwa utukufu wa Mungu baba

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa