Ingia / Jisajili

BWANA FADHILI ZAKO ZIKAE NASI

Mtunzi: Daniel Denis
> Mfahamu Zaidi Daniel Denis
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel Denis

Makundi Nyimbo: Pasaka | Zaburi

Umepakiwa na: Daniel Denis

Umepakuliwa mara 497 | Umetazamwa mara 1,674

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Chorus: Ee Bwana fadhili zako zikae nasi,kama vile tulivyokungoja wewe 1.Mpigieni Bwana vigelegele, enyi wenye haki, kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo, mshukuruni Bwana kwa kinubi, kwa kinanda cha nyuzi kumi,mwimbieni sifa. 2.Kwa kuwa neno la Bwana linaadili, na kazi yake yote huitenda kwauaminifu , huzipenda haki na hukumu, nchi imejaa fadhili za Bwana. 3Tazama jicho la Bwana li kwao wamchao,wazingojeao fadhili zake, yeye huwaponya nafsi zao na mauti na kuwahuisha wakati wa njaa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa