Mtunzi: Maguzu,p. S
> Mfahamu Zaidi Maguzu,p. S
> Tazama Nyimbo nyingine za Maguzu,p. S
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Alpha Claudius
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiBWANA HAANGALII KAMA BINADAMU
Bwana Mungu Haangalii kama Binadamu aangaliavyo x2 Maana wanadamu hutazama hutazama sura ya nje, bali Bwana Mungu huutazama moyo x2
Mabeti
1. Hakika Mungu huwahukumu watu kulingana na matendo yao, haangalii sura wala mwonekano wa mtu.
2. Waweza kufanya mema mengi, yaliyo mazuri kwa mwonekano wa nje, lakini kama moyo wako umejaa ubatili ni bure.
3. Basi tuishi maisha mema yenye unyenyekevu pasipo kujikweza, nafasi yetu Mungu pekee ndiyo alijua.