Mtunzi: Jackson J Kabuze
> Mfahamu Zaidi Jackson J Kabuze
> Tazama Nyimbo nyingine za Jackson J Kabuze
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: JACKSON KABUZE
Umepakuliwa mara 474 | Umetazamwa mara 1,232
Download Notabwana hakika wewe ndiwe mwokozi wa ulimwengu, unipe maji yale ya uzima nisione kiu kamwe milele
1. mtateka maji katika kisima,mtateka maji ya uzima mtakuwa na uzima wa milele
2.hamtakufa bali mtaishi milele,chemichemi i ndani yenu ninyi ya maji ya uzima wa milele