Ingia / Jisajili

Bwana Kama Wewe

Mtunzi: CarlesJr
> Mfahamu Zaidi CarlesJr
> Tazama Nyimbo nyingine za CarlesJr

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Mazishi | Mwanzo

Umepakiwa na: Carles Luoga

Umepakuliwa mara 68 | Umetazamwa mara 123

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana kama wewe ungehesabu maovu×2 ((ni nani ni nani ange simama) ni nani ni na ni ange simama)×2 MASHAIRI 1 a./ Lakini kwako kuna msamaha E Mungu wa Israeli 1.b/ Lakini kwako kuna huruma tele Ee Mungu wa Israeli 2a/ Lakini kwako tunapata neema....... 2b/ Lakini kwako tunapata rehema....... 3a./ Lakini kwako kuna faraja tele....... 3b/ Lakini kwako kuna uzima tele.......

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa