Mtunzi: Thomas Anthony
> Mfahamu Zaidi Thomas Anthony
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: FINIAS MKULIA
Umepakuliwa mara 701 | Umetazamwa mara 1,693
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Bwana kama wewe ungehesabu maovu, X 2, ee Bwana nani angesimama X 2
MASHAIRI
1. Lakini kwako ee Bwana kuna msamaha, kwako kuna msamahaili wewe uogopwe, ili wewe uogopwe,
2. Nafsi yangu inamngoja Bwana siku zote.kuliko walinzi wangijavyo asubuhi, wangojavyo asubuhi.