Mtunzi: G. A. Chavallah
> Tazama Nyimbo nyingine za G. A. Chavallah
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 24,052 | Umetazamwa mara 43,163
Download Nota Download MidiBwana kama wewe Ungehesabu maovu yetu, (nani angesimama, nani angesimama, nani angesimama mbele yako) x 2
1. Lakini kwako kuna msamaha, ili wewe uogopwe, nimemngoja Bwana, Roho yangu, na neno lake nimelitumaini.
2. Nafsi yangu inamngoja Bwana, kuliko walinzi, walinzi waingojavyo, asubuhi, naam walinzi wangojavyo asubuhi.
3. Ee Bwana toka vilindini, nimekulilia, Bwana sauti yangu, usikie, masikio yako yasikie dua zangu.