Mtunzi: Respiqusi Mutashambala Thadeo
> Tazama Nyimbo nyingine za Respiqusi Mutashambala Thadeo
Makundi Nyimbo: Zaburi | Kristu Mfalme
Umepakiwa na: respiqusi mutashambala
Umepakuliwa mara 975 | Umetazamwa mara 3,452
Download Nota Download MidiBWANA NI MFALME
Zab.93: 1-2, 5, (k) 7
Bwana ni mfalme, Bwana ni mfalme amevijika ta ji, amejivika taji X2
1. tenor and bass
Bwana ametamalaki, amejivika adhama,
Bwana amajivika na kujikaza nguvu
2. soprano and alto
Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike,
kiti chako kimekuwa thabiti tokea zamani
Wewe ndiwe uliye tangu milele
3. soprano and alto
Shuhuda, shuhuda zako ni amini sana
utakatifu ndio uifaao nyumba yako
Ee Bwana, ee Bwana milele na milele