Ingia / Jisajili

Bwana Mkarimu

Mtunzi: LINUS.K.KANDIE
> Mfahamu Zaidi LINUS.K.KANDIE
> Tazama Nyimbo nyingine za LINUS.K.KANDIE

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Kandie Linus

Umepakuliwa mara 377 | Umetazamwa mara 826

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana, Bwana Mkarimu Bwana, Bwana Mkarimu ameiandaa karamu takatifu. Twende tule mwili wake na tuinywe Damu yake ni vipaji takatifu toka mbinguni. mashairi 1.Bwana mkarimu njoo, wewe ni chakula bora chakula kinacho tushibisha na kutuokoa sisi. 2.Bwana mkarimu njoo, wewe ni kinywaji safi kinywaji kinacho tusafisha moyo naku changamsha. 3.Bwana mkarimu njoo, ukae nami daima ni wewe tu nakukimbilia kwa maana unaweza.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa