Ingia / Jisajili

Bwana Nakuja Kuomba Toba

Mtunzi: Kalist Kadafa
> Tazama Nyimbo nyingine za Kalist Kadafa

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Kalist Kadafa

Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana nimekuja kwako kuomba toba nipokee mimi mkosefu nihurumie-Maana nimekuja mimi makosa yangu na dhambi yangu iko mbele yangu daima/Nimekutenda dhambi wewe peke Yako nakufanya maovu mbele za macho yako×2

1-Nimefanya maovu ya kila namba,Wala sikuzitii amri zako.

2.Chuki fitina wivu tamaa ya mali,yote ni machukizo mbele zako.

3.Hata usafi wa moyo wangu,nimeshauchafua naomba toba.

4.Nimekosa mimi nimekosa sana,nimekosa sana nihurumie.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa