Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Beatus Idama
Umepakuliwa mara 796 | Umetazamwa mara 2,763
Download Nota Download MidiBWANA NDIYE ANAYEITEGEMEZA NAFSI YANGU
Bwana Bwana Bwana Bwana;
//:Bwana ndiye anayeitegemeza nafsi yangu, Bwana ndiye anayeitegemeza nafsi yangu://
1. Wewe Bwana umeitetea haki yangu, umeutetea na msimamo wangu; Umeketi kwenye kiti chako cha enzi ukihukumu kwa haki.
2. Bwana Mungu atauhukumu ulimwengu kwa haki, ndiye kimbilio la waliooneewa; Ni ngome imara wakati wa shida, ngome wakati wa shida.
3. Mwimbieni Bwana sifa Sayuni, tangazeni yote aliyotenda Mungu; Yatangazeni aliyotenda kati ya mataifa.