Ingia / Jisajili

Bwana Ndiye Mchungaji Wangu

Mtunzi: Daniel Pius Kaulimbe (Dapimbe)
> Mfahamu Zaidi Daniel Pius Kaulimbe (Dapimbe)
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel Pius Kaulimbe (Dapimbe)

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi | Zaburi

Umepakiwa na: Yoronimo Anatory

Umepakuliwa mara 82 | Umetazamwa mara 116

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu // x2 Katika katika malisho ya majani mabichi mabichi hunilaza, kando ya maji ya utulivu huniongoza.//x2 MASHAIRI 1. Hunihuisha nafsi yangu na kuniongoza katika njia za haki kwa ajili ya Jina lake. 2. Naam nijapopita katika bonde la uvuli, wa mauti sitaogopa sitaogopa mabaya. 3. Kwa maana wewe upo pamoja nami, gongo lako na fimbo yako fimbo yako vyanifariji.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa